Katika maisha yangu tangu nizaliwe mpaka hivi sasa sijawahi kuona mwanadada mzuri kiasi hiki maana yake huyu dada alitokea katika umiss akashida kwa uzuri wake shepu na hata hivyo ni mkali.
Huyu ni mwana dada anayefahamika kwa jina la Rehema chalamila alimarufu kama ray c kwa jina la usanii wa music wa bongo fleva hapa nchini tanzania ila nampa pongezi huyu kwa nyimbo yake ambayo kafanya colabo na chid benz imesimama kweli hongera sana.
Huyu ni bbinti mzuri sana ambaye yupo huko bba3[big brother 3] tunatarajia mazuri kutoka kwake kwa mimi navyoona huyu ndiye atakuwa mshindi maana yake tabia yake kiujumla na tena ni mzuri bba3 nzima so naomba watanzania tumpe shavu la uakika.